Thursday, September 10, 2009

KAMA MZAZI

Nikiwa kama mzazi mwenye upendo wa dhati kwa mtoto wangu, nina kila sababu ya kukosa raha kutokana na matatizo haya yaliyomkuta mwanangu Rahmaritah. Si mimi tu bali hata mama yake pia hakuwa na raha hata kidogo.
Ni jambo ambalo lilimkumbusha mbali sana mama yangu Bi. Habiba na kusema kuwa kuna nyingi ya tabia na mambo yamtokeayo binti yangu huyu yanayoshabihiana na tabia ama mambo yaliyowahi kunitokea mimi katika makuzi yangu.
Hili ni Mojawapo.
Rahmaritah akiwa usingizini asubuhi ya siku ya pili baada ya tukio la kuungua na uji na kumsababisha kukosa usingizi usiku kucha kwa sababu ya maumivu makali aliyoyapata.
Katikahistoria ya maisha yake naye ameshaandika kuwa aliwahi kuungua na UJI.
Hii ni sehemu ya mkono wake iliyoungua kwa uji na kuichuna kwa kutumia nguo na kutoa gamba la juu la ngozi yake. INATISHA.
Baada ya kuamka siku ya pili yake na kuamua kunizuia nisiende kazini ili nishinde naye mchana kutwa. kwakweli kama ningekuwa nafanya kazi binafsi nisingetoka siku hiyo kwani nilikuwa nimejawa na usingizi na pia nilikuwa natamani kukaa naye ili nihakikishe hapati matatizo yoyote.
Miaka kadhaa ioiyopita mkono wangu huo niliouweka shavuni ulipata masahibu kama haya aliyoyapata binti yangu.
Lyk fadha lyk doughter.
Mungu msaidie Mwanangu apone haraka. AMIN

Thursday, August 27, 2009

Happy Birthday Rahmaritah (1 yr 02/01/2009)




Tamu Tamu Ya Little Ritah



















Rahmaritah Akikata Keki

Mama mdogo Moshi (POPU) akisubiri kulishwa keki na Rahmaritah



Ni baada ya kukandamiza makeki na majuisi, ni mimi PashalOnline (Baba Rahma) katika vazi la Kikwavi na baadhi ya wadogo zangu waliohudhuria siku hiyo ya kusherehekea mazawa ya Binti yangu mpendwa RAHMARITAH


Its me mwenyewe nikimkandamiza Kaykey Mwanawangu Ritah


Enhee, sikiliza sasa! Toka kushoto Radhia Ally Migomba (dada), Baby Sandra rafiki kipenzi cha Rahmaritah, Rahmaritah mwenyewe na Radhia Ridhaa Migomba (Mami). Usiulize swali lolote.













Hatimaye Popu alishwa Keki
















Yeah, Guess what. Sikuambii kitu jiulize mwenyewe na upate jibu kisha tuma maoni yako













Kama unasherehekea ama manao anasherehekea siku yake ya kuzalia usisite kunitumia Picha na maelezo yake kupitia rahmaritah@yahoo.com au pashlonline@yahoo.com

Monday, August 24, 2009

Ni siku iliyojaa shangwe na nderemo pale Wadau ALLY Migomba (Wandiba) na mdogo wake Hamidu Migomba (Nganga) walipoamua kuupiga TEKE Ukapera na kufunga ndoa na wenza wao Zawadi Bint Fundi aliyebatizwa jina na kuitwa Mrs. Ally na Fatma Bint. KOKA aliyeitwa Mrs. Hamidu.
Mungu IBARIKI ndoa ya watu hawa.

AMIN















Kama ilivyo ada ya makabila ya pwani, Watu tuliokwisha OA tulialikwa kupata chakula maalum mbele ya alaiki ya watu (KOMBE). C MCHEZO BABAKE.
















Hii ilikuwa ni siku ya pili ambapo wana Migomba waliaandaa sherehe ya kufana iliyoitwa ZAID ya RECEPTION ili kujumuika na watu wa pande zote katika kusherehekea harusi hizo mbili kwa moja (2 in 1).

Tulipata burudani kabambe toka kwa watoto wa mjini The EAST AFRICAN MELOAD MODERN TAARAB.

Ilikuwa ni RAHA tupu kwa kweli.
















Bwana ALLY Migomba (Wandiba) akiwa na ASALI wake wa moyo Bi. Zawadi Fundi mara tu baada ya Ndoa iliyofungwa katika msikiti wa Taqwa Ilala Bungoni na kufuatiwa na safari ndefu kiasi ya kumfuata Bi. Zawadi huko Kinyerezi.

Thursday, August 20, 2009

Pichani ni (Rahmaritah)



















Rahmaritah
binti wa kiafrika
katika pozi.


Pichani ni mimi na Mke wangu mpenzi
Fauzia
(Mama Rahmaritah)




















Ashukuliwe Muumba kwa kutuweza nasi tukaweza.
Hii ni moja kati ya picha nyingi nilizoweza kupigwa
wakati wa harusi yangu eti kipindi hiki nilikuwa naitwa
Rahim
lakini sasa ni Baba Rahmaritah.


Pichani ni mimi (Rahim Migomba)



















Huu ulikuwa ni mchezo tu.

Thursday, June 25, 2009

Little Rita


 
 
 
 
 
 
Siku ya tatu tangu kuzaliwa kwake binti huyu mrembo, Rahmaritah