
Rahmaritah binti wa kiafrika
katika pozi.
Pichani ni mimi na Mke wangu mpenzi
Fauzia (Mama Rahmaritah)

Ashukuliwe Muumba kwa kutuweza nasi tukaweza.
Hii ni moja kati ya picha nyingi nilizoweza kupigwa
wakati wa harusi yangu eti kipindi hiki nilikuwa naitwa
Rahim lakini sasa ni Baba Rahmaritah.
Pichani ni mimi (Rahim Migomba)

Huu ulikuwa ni mchezo tu.