rahmaritah

Saturday, June 27, 2009

PashalOnline



Posted by Rahim R. Migomba at 4:13 AM
Labels: அமின்., ம்ழீ வா மிகேதேகேடமோ. ம்பெலே டைமா
Newer Post Older Post Home

RAHMARITAH.

RAHMARITAH.

Hi!

Naam, kwa maana jinsi hii Muumba alinipenda na ndo maana akanijaalia mtoto.



Kwa kila aliye ndoani na hata yule asiyeingia bado katika sayari hii ya upendo wa kweli, anatamani siku moja kuwa na mtoto (haya ni mawazo yangu).



Basi nina kila sababu ya KUMSHUKURU MAULANA kwa SHANI hii aliyonitunuku. SHANI ya MTOTO mrembo, RAHMARITAH naam Rahmaritah ni mwanangu wa pekee. Ninampenda saana na ndo maana nimeamua kufungua BLOG hii ili kumuonesha upendo wangu kwake.



Ninachoweza kumuhusia mwanangu Rahmaritah ni; KUSHIKANA NA MATENDO MEMA yampendezayo Mungu

MUNGU anikuzie mwanangu mpendwa. AMIN.



Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.